News & Media

Latest Updates on Big Joe

Stay informed with the latest news, press releases, and media coverage about Joseph Kusaga and the Consortium.

Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, Ashiriki kama Mgeni Rasmi Uzinduzi wa Tuzo za ACAMEA 2026
15 Aug
Admin Events & Launches

Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, Ashiriki kama Mgeni Rasmi Uzinduzi wa Tuzo za ACAMEA 2026

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, asisitiza umuhimu wa sekta ya habari katika kukuza uwekezaji wa sekta ya ujenzi na madini wakati wa uzinduzi wa tuzo za ACAMEA 2026

Read More
Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, Afika Katika Tamasha la Shika-More Raha 24/7 Na Familia Yake
07 Aug
Admin Matukio

Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, Afika Katika Tamasha la Shika-More Raha 24/7 Na Familia Yake

Mkurungenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, amewasili na familia yake katika tamasha la Shika-More Raha 24/7 jijini Dar es Salaam, akijiunga na wasanii na watu mashuhuri katika hafla ya kih...

Read More
Tafrija za Joe kwenye 60 ya Joseph Kusaga
12 Jun
Admin Matukio

Tafrija za Joe kwenye 60 ya Joseph Kusaga

Ndugu, Jamaa na Jamaa zao wamekusanyika jioni hii kwenye white party maalum kusherehekeatarakimu mbili kubwa kwenye umri wa Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group

Read More
Joseph Kusaga Atimiza Miaka 60: Safari ya Maono, Uongozi na Kujenga Fursa
07 Jun
Joseph Kusaga Matukio

Joseph Kusaga Atimiza Miaka 60: Safari ya Maono, Uongozi na Kujenga Fursa

Tarehe 9 Juni 2026, Joseph Kusaga alitimiza miaka 60 ya maisha, akisherehekea safari ya miongo sita iliyojaa maono, ujasiriamali, ubunifu, uongozi na kujenga fursa kwa wengine.

Read More